NA. MWANDISHI WETU BERLIN, UJERUMANI 03 APRILI, 2025
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga ametembelea na kujionesha shughuli zinazotekelezwa na taasisi mbalimbali kuhusu Afa za Watu wenye Ulemavu Duniani wakati wa maonesho yanayoendelea katika Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Watu wenye Ulemavu (Third Global Disability Summit) jijini Berlin nchini Ujerumani tarehe 03 Aprili 2025.jpeg)
.jpeg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...