NI Alhamisi murua kabisa ndani ya Meridianbet leo ambapo nafasi ya wewe kuibuka na zaidi ya mamilioni imefika. Timu za ushindi zpo tayari na ODDS za kibabe zinakusubiri. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.
Ligi kuu ya Saudi, SAUDI PROFESSIONAL LEAGUE inatarajiwa kuendelea siku ya leo hivyo na wewe ingia mzigoni kusaka Odds za kibabe, Al-Akhdoud atamleta kwake Al-Raed Club huku nafasi ya kushinda pale Meridianbet akipewa mwenyeji kwa ODDS 1.69 kwa 4.60. Je beti yako wewe unaiweka wapi hapa?. Suka jamvi mechi hii.
Wakati Al-Fateh yeye atasafiri moja kwa moja kumenyana dhidi ya Damac FC ambao wapo nafasi ya 13, mgeni yeye yupo nafasi ya 15 huku tofauti yao ikiwa ni pointi 2 pekee. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, mwenyeji alipigika. Hivyo leo hii anahitaji kulipa kisasi. Mechi hii imepewa ODDS 3.30 kwa 1.96. Jisajili hapa.
Saa 3 usiku Al-Ahli Saud FC atamenyana vikali dhidi ya Al-Itiffaq FC huku mara ya mwisho kukutana, mwenyeji aliondoka na ushindi. Hivyo basi leo hii mgeni anataka kulipa kisasi mbele ya vijana wa Mattihas Jaissle ambao ndio wanaopendelewa kuondoka na pointi 3 pale Meridianbet. Je nani kukupatia mshindo wa maana siku ya leo?. 1.45 kwa 6.20 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Leo ni siku ya kuondoka na ushindi ndani ya Meridianbet, Suka jamvi lako hapa lakini pia, cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Vilevile ligi nyingine inayotarajiwa kukupatia pesa leo ni ligi kuu ya Sweeden, SUPERETTAN mechi zipo nyingi bashiri mechi ya Kalmar FF atakipiga dhidi ya Umea FC ambao mechi yao iliyopita, walipigika huku wenyeji wao wakitoa sare. Pointi 3 ni muhimu kwa kila timu. 1.22 kwa 11 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi mechi hii.
Nao GIF Sundsvall watakiwasha dhidi ya IK Brage ambao mechi ya mwisho kukutana walitoshana nguvu, hivyo leo hii kila timu inagombania pointi 3. Nafasi ya kuondoka na ushindi Meridianbet amepewa mwenyeji kwa ODDS 2.46 kwa 3.15. Tandika jamvi hapa.
Helsingborgs IF atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya IK Oddevold ambao wanashika nafasi ya 5, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 12. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana hawa wawili, walitoa sare. Je leo hii kwa ODDS ya 2.04 kwa 3.40. Bashiri hapa.
SUPER LEAGUE pale Uswizi nayo inatarajiwa kuendelea ambapo Yverdon-Sport atamualika kwake FC Zurich ambao wanashika nafasi ya 7 na mwenyeji wake nafasi ya 12. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.15 kwa 3.05. Jisajili hapa.
Wakati kwa upande wa Grasshoper Club Zurich yeye ataumana dhidi ya FC ST. Gallen 1879. Mara ya mwisho kukutana mwenyeji alibeba pointi 3. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi?. Mechi hii imepewa ODDS 1.80 kwa 3.90. Suka jamvi hapa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...