Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Masha Mshomba, amewaongoza baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mfuko katika zoezi la kuboresha taarifa zao katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).
Bw. Masha Mshomba amemshukuru Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Bw. Abdul-Razaq Badru kwa ushirikiano mkubwa baina ya taasisi hizo.
Zoezi hilo la utoaji elimu limefanywa na Bw. Selemani Majingo, Mkuu wa PSSSF Mkoa wa Tanga pamoja na Bw. John Mwita, Afisa Matekelezo Mkoa wa Ilala.
Kwa upande wake, Bw. Simon Kihwele, Afisa Uendeshaji kutoka Makao Makuu Dodoma alitumia fursa hiyo kuendesha zoezi la uhakiki wa taarifa kwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Baraza hilo wakati wa Mkutano Mkuu wa Baraza la 54 la Wafanyakazi wa NSSF, ambalo linafanyika jijini Tanga.

.jpeg)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...