
MWEZI huu wa Juni, furahia kucheza Win&Go kupitia Meridianbet na ujipatie zawadi ya kurejeshewa 10% ya hasara zako kila siku.
Win&Go ni mchezo wa haraka wa bahati nasibu mtandaoni uliotengenezwa na Expanse Studios, ambao unajumuisha michezo ya kuchagua namba kama vile Keno. Mchezo huu huleta matokeo kila baada ya dakika tano na una bonasi nyingi za kuvutia.
Katika kila raundi, mchezaji huchagua kati ya namba 6 hadi 10 kutoka kwenye jumla ya namba 48. Kisha, namba 35 huchaguliwa kwa bahati nasibu. Ushindi hupatikana kulingana na idadi ya namba zako zinazoonekana kwenye droo hiyo.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Tofauti kubwa ya Win&Go na michezo mingine ni uwepo wa nafasi maalum zinazojulikana kama “gift positions”, mfano inaweza kuwa nafasi ya 12 au 23 kwenye droo. Ikiwa mojawapo ya namba zako itaangukia katika nafasi hizo maalum, utarejeshewa dau lako hata kama hukushinda. Na kama namba mbili zako zitaangukia kwenye nafasi hizo, utashinda mara nne ya dau lako.
Pia kuna raundi za kipekee zinazojulikana kama “Golden Rounds”, ambazo huongeza ushindi wako mara dufu na kukupa nafasi zaidi ya kushinda.
Kuanzia 01.06.2025 hadi 30.06.2025, wachezaji wote wanaocheza Win&Go na kupata hasara ya angalau Sh. 1,000 kwa siku, watarudishiwa 10% ya hasara yao siku inayofuata kama Win&Go bonus huku ofa ikienda mpaka kiwango cha juu cha Tsh. 15,000 kwa siku.
Hii ni nafasi ya kipekee ya kuendelea kucheza bila presha, ukiwa na matumaini mapya kila siku. Iwe wewe ni mchezaji mpya au uliyezoea, Win&Go inakupa burudani, ushindi, na sasa, ofa ya kipekee ya kurejeshewa sehemu ya hasara zako ukicheza kupitia Meridianbet.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...