MICHUANO ya Kombe la COSAFA inaendelea leo kwa hatua ya nusu fainali, ambapo mechi mbili zenye ushindani mkubwa zinatarajiwa kupigwa. Mchezo wa kwanza utaikutanisha Angola dhidi ya Madagascar saa 10:00 jioni, huku Afrika Kusini, ambaye ni mwenyeji wa mashindano haya, akimenyana na Comoro saa 1:00 usiku. Meridianbet imeweka odds kubwa kwa mechi hizi muhimu.
Timu ya Angola, waliongoza Kundi B kwa alama 7 baada ya kupata ushindi dhidi ya Lesotho na Malawi na kutoka sare na Namibia. Namibia walishika nafasi ya pili kwa alama 5, Lesotho wakapata alama 3 na Malawi wakamaliza wa mwisho kwa alama 1.
Kwa upande wa Madagascar imefuzu hatua hii baada ya kuibuka kinara wa Kundi C kwa alama 4, zilizopatikana kupitia ushindi dhidi ya Tanzania na sare na Eswatini. Tanzania walishika nafasi ya pili kwa alama 3, huku Eswatini wakimaliza wa mwisho kwa alama 1.
Comoro waliongoza Kundi D kwa alama 4, wakizibwaga Botswana iliyopata alama 2 na Zambia iliyomaliza na alama 1.
Piga pesa kwenye michuano hii ya COSAFA kwa kubashiri na Meridianbet, Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno na mingine kibao.
Afrika Kusini, wakicheza nyumbani, waliongoza Kundi A kwa tofauti ya mabao dhidi ya Zimbabwe na Msumbiji zote zikiwa na alama 4 huku Mauritius wakimaliza wa mwisho kwa alama 3 baada ya sare katika michezo yote.
Kwa mashabiki wa michezo ya kubashiri, Meridianbet wameipa mechi ya Angola dhidi ya Madagascar odd ya 1.95 kwa Angola na 4.50 kwa Madagascar, huku Afrika Kusini akiwa na odd ya 1.75 dhidi ya 5.40 ya Comoro.
Kwa mbashiri yeyote, hii ni fursa ya kipekee kupanga mkeka wako kupitia Meridianbet, kwani kuna machaguo zaidi ya 800 kwa kila mechi na nafasi kubwa ya kushinda.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...