HATIMAYE hayawi hayawi sasa yamekuwa, ile michuani mikali ambayo ilikuwa inasubiri kwa hamu sana sasa imefika. Si mingine ni michuano ya Kombe la Dunia la vilabu. Nafasi ya kutusua na Meridianbet unayo leo. Bashiri sasa.
Michuano
hii itafanyika huko Marekani ambapo takribani timu 32 kutoka mabara tofauti
zitashiri michuano hii mikali kabisa ambayo itazamiwa kumpata Bingwa wa Dunia
kwa ngazi za vilabu.
Timu
hizo 32 ambazo zitakuwa zikishiriki michuano hii zitatoka kwenye mabara tofauti
ambapo Bara la Ulaya UEFA (EUROPE) litatoa timu 12 ambazo ni,
● Chelsea (England)
● Manchester City (England)
● Real Madrid ( Spain),
● Atletico Madrid (Spain)
● Bayern Munich (Germany)
● Borussia Dortmund (Germany)
● PSG (France)
● Inter Milan (Italy)
● Juventus (Italy)
● Benfica (Portugal)
● Porto (Portugal)
● RB Salzburg (Austria)
Hizo
ndio timu ambazo zotashiriki kwenye michuano hii ya Kombe la Dunia la Vilabu
kutoka Bara ya Ulaya ambapo ndani ya bara hilo ndipo kuna bingwa wa ligi ya
mabingwa wa Ulaya kutoka kule Ufaransa yaani PSG.
Meridianbet inasisitiza pia
kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo
ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri
michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao
meridianbet.co.tz
Vilevile
kutoka bara la Amerika ya Kusini CONMEBOL
(South America) itawakilishwa na timu 6 pekee ambazo ni kama ifuatavyo,
● Palmeiras (Brazil)
● Flamengo (Brazil)
● Fluminense (Brazil)
● River Plate (Argentina)
● Boca Juniors (Argentina)
● Botafogo (Brazil)
Hao
ndio wababe wa bara la America ya Kusini ambao wataenda kusaka kombe hilo la
bingwa kwa ngazi ya vilabu la Kombe la Dunia. Je unampa nani nafasi ya kuondoka
bingwa kwenye bara hili?. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo
Meridianbet. Ingia na ubashiri sasa.
Bara
lingine ambalo litatoa timu za kushiriki Kombe la Dunia la Vilabu ni Bara la Asia (AFC) ambapo hapa kuna timu 4
pekee,
● Al Hilal ( Saudi Arabia)
● Urawa Red Diamonds (Japan)
● Al Ain ( United Emirates
Arabs)
● Ulsain Hyundai ( South Korea)
Pia
timu zingine ambazo zitashiriki Fifa Club World Cup zinatoka katika bara la Afrika CAF, ambazo hapa zipo 4 tuu,
nazo ni,
● AL Ahly (Egypt)
● Wydad Casablanca (Morocco)
● Esperence Des Tunis (Tunisia)
● Mamelod Sundowns (South
Africa)
Timu
zingine 5 zitatoka katika bara la CONCACAF (North America) huku pale Meridianbet hili ni bara mojawapo ambapo
timu kutoka hapo hazipewi sana nafasi ya kushinda Kombe hili. Je wewe unasema?
Timu hizi ni zipo 5 ambazo hizi hapa,
● Monterrey ( Mexico)
● Seattle Soundres (USA)
● Pachuca (Mexico)
● Los Angeles FC (LAFC) USA
● Inter Miami (USA) ambao hawa
ndio wenyeji wa michuano hii, hata hivyo wao ndio watafungua michuano hii hapo
kesho ambapo watakipiga dhidi ya Al Ahly.
Ukiachana
na mabara hayo, pia kuna bara 1 ambalo nalo litashiriki michuano hii kwa kuleta
timu 1. Bara hilo ni OFC (Oceania) timu
hiyo ni Auckland City ( New Zealand).
Kwahiyo
hizo ndio timu 32 kutoka mabara 6 ambazo zitashiriki michuano hii ya Kombe la
Dunia kwa ngazi za vilabu huko Marekani, Viwanja vitakvyotumika ni kama vile Hard Rock, Rose Bawl, TQL, Metlife, New
Jersey, Mercedes- Benz, Lincolin Finacial Field, nk.
Timu
32 zimegawanywa kwenye makundi 8 yenye timu 4 kila moja ambapo timu mbili bora
kutoka kila kundi zitafuzu hatua y a mtoano. Mashindano haya yatahitimishwa na
kwa fainali itakayochezwa Tarehe 13 Julai 2025 katika dimba la Metlife.
Jisajili na ubeti na Meridianbet.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...