HABARI nzuri kwa wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni. Meridianbet inawapa nafasi ya kipekee ya kushika simu mpya ya Samsung A25 kwa kuingia kwenye mchezo maarufu sana wa Super Heli, ambao umejaa msisimko na ushindi wa haraka. Mchezo huu ni wa roketi inayopaa angani, na wewe unakuwa rubani wa ushindi wako. Jisajili na Meridianbet sasa na ujaribu bahati yako.
Kuanzia Juni 1 mpaka Juni 30, Meridianbet itawapa wachezaji wawili simu za Samsung A25 kila Jumatatu, mradi tu uwe umejisajili. Huu ni mchezo ambao unakupa zaidi ya simu, kwani unaweza pia kujinufaisha na mapato ya ziada kwa kushiriki. Fikiria tu, unapata simu ya kifahari na pesa za ziada kwa wakati mmoja.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Super Heli ni mchezo wa kipekee ambao ndege yake inaruka kwa umbali wa ajabu, ikikupa nafasi ya kujikusanyia odds kubwa. Ikiwa unapenda michezo kama Aviator, utaelewa jinsi ndege inavyopaa na kukuletea faida kubwa zaidi. Na jambo la kushangaza, unaweza kuanza na kiwango chochote ulichonacho hata kikiwa kidogo, lakini fursa ya kushinda ni kubwa sana. Cheza Super Heli leo ushinda simu ya Samsung A25, na uwe miongoni mwa mabingwa wanaovuma
Meridianbet inakualika uwe sehemu ya safari hii ya kushinda. Chukua hatua sasa, jisajili, na uwe tayari kushika simu mpya na kufurahia ushindi wa kasino.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...