MERIDIANBET inatangaza promosheni yake ya kipekee ya LOOT Legends, mashindano ya kipekee yatakayodumu kwa wiki 10 kuanzia tarehe 30 Juni hadi 7 Septemba 2025. Promosheni hii inaleta fursa ya kushinda zawadi kubwa yenye thamani ya jumla ya TZS 1.5 bilioni kwa wachezaji wote wa michezo ya sloti.

Ili kushiriki, wachezaji wanahitaji kujisajili (opt-in) kwa mashindano ya kila wiki. Kwa kila spin ya pesa halisi yenye thamani ya TZS 280 au zaidi, mchezaji anapata nafasi ya kushiriki na kupanda kwenye jedwali la washindi. Mfumo wa pointi unatokana na win multiplier ya juu zaidi kutoka kwa spin moja, ambayo inamaanisha kuwa spin yako moja yenye ushindi mkubwa zaidi ndio itakayokupa nafasi bora ya kushinda.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Kila wiki itakuwa na zawadi ya jumla ya TZS 150 milioni, zikitolewa kwa washindi 1,000. Jumla ya zawadi kwa muda wote wa promosheni ni TZS 1.5 bilioni. Zawadi hizi ni pesa taslimu na hazina masharti ya kuchezewa tena (wager-free), kumaanisha unaweza kutoa pesa zako mara moja. Washindi watapokea taarifa moja kwa moja kupitia pop-up notification na watahitaji kubofya "Claim" ndani ya siku 7 ili kupokea zawadi zao.

Baadhi ya michezo ya sloti yanayoshiriki ni pamoja na 12 Masks of Fire Drums, Candy Combo, Bass Cash X UP, Arena of Gold: Shields of Glory, Gold Blitz, Fire and Roses Joker, na 333 Boom Banks. Promosheni inafanyika kwa mujibu wa sheria na kanuni zote za michezo ya bahati nasibu nchini Tanzania, na Meridianbet inahakikisha uadilifu na uwazi kwa wachezaji wote.

Muda wako ndo kuwa bingwa. Fanya maamuzi sahihi kwa kujisajili sasa na meridianbet uanze safari ya ushindi na kuelekea utajiri wako sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...