
Kauli hiyo ameitoa mara baada ya kutembelea banda la taasisi hiyo lililopo kwenye maonesho ya kimataifa ya kibiashara (Sabasaba) leo Julai 11, 2025 Jijini Dar es Salaam.
Dkt. Ndumbaro ameiopongeza RITA kwa kazi nzuri wanayoifanya kwa kusajili na kutoa cheti cha kuzaliwa hapo hapo kwenye maonesho hayo na kuwaomba wananchi kuendelea kujisajili na kuomba cheti kwa njia ya mtandao (online) kwa kutumia eRITA popote ulipo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...