MERIDIANBET inakuletea Lucky Rush Tournament, promosheni kabambe ya msimu huu wa joto inayotoa jumla ya zawadi ya TZS 1.5 bilioni pesa taslimu. Kuanzia tarehe 27 Juni hadi 3 Agosti 2025, wateja wote wa Meridianbet wanakaribishwa kushiriki kwenye mashindano matano ya leaderboard, kila moja likiwa na zawadi ya TZS 300 milioni na nafasi ya washindi 5,000 katika kila duru.

Katika promosheni hii ya kusisimua, wachezaji wanatakiwa kujiandikisha (opt-in) kwenye kila leaderboard kabla ya kuanza kucheza, kwani ushiriki si wa moja kwa moja. Hakuna kiwango cha chini cha dau kinachohitajika kushiriki, na zawadi zote zitakazotolewa ni pesa taslimu zisizo na masharti ya kuchezewa tena.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Wachezaji watapokea pointi kulingana na uwiano wa ushindi dhidi ya dau katika kila spin. Kwa mfano, ukiweka dau la TZS 5,000 na kushinda TZS 250,000, utapata pointi 50. Kila leaderboard itahesabu spins zako bora 25 kati ya 5,000 za mwanzo, hivyo ni muhimu kucheza kwa uangalifu na kutafuta ushindi mkubwa wa spin moja.

Ikiwa kutatokea sare ya pointi, mchezaji mwenye spins nyingi zilizobaki atapewa kipaumbele, na kama bado kuna sare, basi yule aliyechuma pointi hizo mapema ndiye atatangazwa mshindi.

Michezo inayoshiriki kwenye promosheni hii inatoka katika majina makubwa ya Playtech kama Age of the Gods: King of Olympus, Fire Blaze: Pharaoh’s Daughter, Cash Collect, Breaking Bad: Cash Collect, na Mega Fire Blaze: Wild Pistolero.

Zawadi zote ni za pesa taslimu na zinaweza kutolewa mara moja baada ya kupewa. Hii ni nafasi adimu ya kugeuza spins zako kuwa mamilioni ya pesa bila masharti magumu.

Tembelea tovuti ya Meridianbet au fungua app rasmi ya meridianbet, jiunge kwenye leaderboard, cheza sloti unazozipenda, na uwe miongoni mwa washindi wa Lucky Rush Tournament.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...