MERIDIANBET kwa kushirikiana na Expanse Studios wamezindua Zombie Apocalypse, promosheni mpya ya kuvutia inayowahamasisha wachezaji kuingia katika ulimwengu wa vita vya kutisha dhidi ya zombie, huku wakifurahia burudani ya hali ya juu na fursa kabambe za ushindi.

Kuanzia tarehe 1 hadi 31 Agosti 2025, wachezaji wamekuwa wakialikwa kushiriki kwenye mchezo huu wa kipekee ambapo kila spin unayocheza ni hatua kuelekea ushindi. Zombie Apocalypse ni mchezo ulioundwa kwa mchanganyiko wa teknolojia ya kisasa na mandhari ya apocalyptic, unaobeba muonekano wa sinema na michezo ya kupambana.

Expanse Studios wameweka ubunifu wao wa hali ya juu katika uundaji wa mchezo huu. Kutoka kwenye picha za kuvutia zinazochora ulimwengu wa mwisho wa dunia hadi sauti zenye athari za kisinema, kila kipengele cha mchezo huu kimetengenezwa kwa uangalifu ili kumpa mchezaji hali ya kuwa ndani ya uwanja wa vita, siyo tu kucheza, bali kuishi hadithi ya Zombie Apocalypse.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Kushiriki katika promosheni ni rahisi mno. Unachotakiwa kufanya ni kujiandikisha kupitia tovuti ya Meridianbet au app rasmi, kisha ucheze spins 100 za pesa halisi kwenye mchezo wa Zombie Apocalypse ndani ya kipindi cha promosheni. Mara tu unapofanikisha hilo, utajinyakulia spins 50 za bure siku inayofuata.

Meridianbet, kama jina linaloaminika nchini Tanzania katika nyanja ya michezo ya kubashiri, inaendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuleta ubunifu na furaha kwa wachezaji wake. Ushirikiano wao na Expanse Studios ni ishara ya kujitoa kwao kuhakikisha kuwa wateja wao wanapata burudani ya kiwango cha juu inayozingatia viwango vya kimataifa.

Usikose nafasi hii. Jiunge na Meridianbet leo kupitia tovuti au app rasmi, ingia kwenye ulimwengu wa Zombie Apocalypse, na uwe sehemu ya mapinduzi ya kasino ya mwaka. Promosheni hii inaisha Agosti 31, 2025 kwa hiyo, zungusha spins zako sasa, shiriki kwenye mapambano, na andika historia yako ya ushindi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...