KAMPUNI ya Meridianbet, inayojulikana kwa kuleta michezo bora ya kasino ya mtandaoni, imezindua promosheni mpya kupitia mchezo wa Super Heli. Huu ni mchezo wa kipekee wenye mvuto wa aina yake, na sasa unawapa wachezaji fursa ya kujishindia zawadi kabambe za simu janja aina ya Samsung A25. Kama bado hujaanza kushiriki, basi huu ndio wakati sahihi kabisa wa kujiunga na kufurahia ushindi mkubwa.

Super Heli ni mchezo unaovutia sana na unashabihiana kwa mbali na ule maarufu wa Aviator, lakini ukiongezewa utofauti unaobeba ubunifu wa hali ya juu. Badala ya ndege, hapa unapanda na kuongoza helikopta inayopaa angani, na kadri unavyosalia hewani ndivyo unavyozidi kujizolea ushindi na bonasi za kuvutia za kasino. Muonekano wake maridadi na fursa ya kucheza kwa kiwango chochote cha dau ulichonacho, humfanya kila mchezaji kuwa na nafasi ya kushinda bila vikwazo.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Zawadi ya simu janja kupitia mchezo huu imeanza kutolewa rasmi kuanzia tarehe 1 Agosti na itaendelea hadi tarehe 31 Agosti. Kila Jumatatu, wachezaji wawili watajishindia simu mpya, hivyo kwa kipindi chote cha promosheni, simu nane za kisasa zitatolewa jumla. Ni nafasi adhimu ya kunyakua zawadi murua bila kuingia gharama za ziada.

Jinsi ya kushiriki ni rahisi mno. Unachotakiwa kufanya ni kuwa na akaunti halali ya Meridianbet ambayo unaweza kuifungua kupitia tovuti rasmi ya meridianbet.com au kwa kupakua app kutoka Google Play au App Store. Baada ya kufungua akaunti, ingia kwenye mchezo wa Super Heli, weka dau lako, na cheza mara nyingi kadri uwezavyo ili kuongeza nafasi zako za ushindi.

Hii ni fursa isiyopaswa kupitwa. Cheza, shinda, na uondoke na simu yako mpya ya Samsung A25 kupitia Meridianbet. Kumbuka, kila Jumatatu mshindi anatangazwa, huenda wiki ijayo ikawa ni zamu yako.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...