.png)
MWEZI mpya wa 8 umekuja na faida kibao kwani mteja wa Meridianbet anaweza akatengeneza mkwanja mrefu kwa kubashiri mechi zote anazozitaka huku nafasi ya yeye kuondoka bingwa ikiwa kubwa. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.
FC Augsburg watakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Crystal Palace ya kule Uingereza ambao kwenye mechi hii ya leo ndio wanapewa nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.78 kwa 3.70. Meridianbet wanakwambia ni rahisi sana kwako kutusua mkwanja wa uhakika kwa dau lako dogo tuu. Bashiri hapa.
Lakini mteja wa Meridianbet anaweza akabashiri mechi hii ya EA Guingamp vs Stade Briochin kule Ufaransa. Mechi hii pia ukiachana kuwa na ODDS za kuvutia pia ina machaguo zaidi ya 1000. Yaani kwenye mechi hii unaweza ukachaguo ukabashiri, kona, faulo, magoli nk. Jisajili na ubeti hapa.
Kwa upande wa FC Fleury 91 wao watakuwa na kibarua cha kupepetana dhidi ya US Boulogne ambao ndio wanaopendelewa kuondoka na ushindi mkubwa siku ya leo. Mwenyeji yeye anataka kuonesha ubavu wake akiwa nyumbani. Je nani kuondoka na pointi 3 leo? ODDS za mechi hii ni 3.00 kwa 2.11. Beti sasa.
Piga pesa kwa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Wakati huo huo Stade Lavallois MFC atamenyana dhidi ya US Orleans ambao wanatokea kule Ufaransa na wanacheza ligi daraja la 3. Unaweza ukataengeneza pesa kwenye mechi hii ya leo kwa kubashiri na wakali wa ubashiri. Meridianbet wameipa mechi hii kwa 1.76 kwa 3.90.
Le mans atakuwa uso kwa uso dhidi ya SM Caen ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.80 kwa 2.24. Nafasi ya wewe kutusua ni kubwa sana, weka dau lako unalolitaka na ujiweke kwenye nafasi ya kuwa bingwa. Je beti yako unaiweka wapi kati ya hizi timu mbili?. Suka jamvi lako sasa.
Nao Bayer Leverkusen watakuwa ugenini kujifua dhidi ya Fortuna Sittard ambao hawapewi nafasi kubwa ya kushinda leo wakiwa na ODDS 9.40 kwa 1.18. Vijana wa Ten Hag leo hii ugenini watatoboa?. Suka jamvi lao mechi hii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...