Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, ameikabidhi Taifa Stars kiasi cha Shilingi milioni 10 za goli la mama na kuungwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ambaye ametoa kiasi cha shilingi Milioni 20 pamoja na mdau wa michezo, Ndg. Azzim Dewji, ambaye ameahidi kiasi cha shilingi Milioni 25 kwa timu hiyo.


Stars imejinyakulia fedha hizo baada ya ushindi wa goli 1 - 0, dhidi ya Mauritania, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar e


s Salaam, Agosti 06, 2025.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...