
MASHABIKI wa soka wanapata burudani ya kipekee leo, huku miamba wa Ulaya wakipambana vikali kusaka pointi muhimu. Kwa wapenzi wa kubashiri, Meridianbet imeweka odds za kuvutia na machaguo mengi ya kukupa faida ya haraka.
Aston Villa wanawakaribisha Fulham mchana huu. Villa bado hawajapata ushindi msimu huu, lakini wanapambana kwa nguvu kurekebisha hali. Fulham wana safu ya kiungo yenye ubunifu mkubwa, lakini Villa wakicheza nyumbani wana nafasi ya kujitetea. Odds za Meridianbet kwenye mechi hii ni kubwa, na zinaweza kukupa faida ya haraka ukibashiri.
Baadaye jioni, Newcastle United wanachuana na Arsenal. Hii ni mechi ya moto inayovuta hisia za mashabiki wengi. Arsenal wanakuja na kasi ya ushindi, lakini Newcastle wakiwa nyumbani ni hatari. Mabao yanatarajiwa, na odds zake ni tamu kwa kila mbashiri anayetaka kuvuna mkwanja.
Vilevile, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#
Katika La Liga, Rayo Vallecano wanacheza na Sevilla saa 9:00 alasiri. Rayo wanahitaji ushindi baada ya matokeo ya kusuasua, huku Sevilla wakitafuta kurejesha heshima yao. Odds zipo kwa wote wanaotumia meridianbet.
Elche wanawakaribisha Celta Vigo kwenye dimba la Estadio Martinez Valero. Elche hawajapoteza nyumbani tangu msimu uanze, na Celta Vigo wanakutana na rekodi ngumu kuvunjika. Bashiri mchezo huu ujipatie pesa kwa uhakika.
Barcelona wanawakaribisha Real Sociedad saa 1:30 usiku kwenye dimba la Spotify Camp Nou. Hansi Flick anaingia bila Lamine Yamal, lakini Barca bado ni tishio. Sociedad hawajawa na matokeo mazuri msimu huu, na wanakutana na ukuta mgumu. Odds ni tamu, bashiri bila kusita.
AC Milan wanakutana na Napoli kwenye dimba la San Siro. Milan wanahitaji pointi tatu ili kusogea kileleni, lakini Napoli ya Antonio Conte haijapoteza hata mechi moja msimu huu. Mechi ni ya moto, na pale meridianbet odds ni za kutosha.
Roma wanacheza na Verona saa 10:00 jioni kwenye dimba la Stadio Olimpico. Roma wameanza kuonyesha dalili za kuwania ubingwa kwani mpaka sasa wapo nafasi ya nne, huku Verona wakipambana kubaki ligi kuu. Odds za Meridianbet zinakupa nafasi ya kugeuza dau kuwa faida halisi.
Jumapili hii ni ya kipekee kwa mashabiki wa soka na wapenzi wa kubashiri. Mechi ni za kuvutia, odds ni kubwa, na Meridianbet inakupa nafasi ya kuvuna mkwanja bila stress. Bashiri kwa maarifa, cheza kwa ujasiri, na Meridianbet itakupa faida ya kifalme. Hapa pesa ni uhakika.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...