IKIWA leo hii ni Ijumaa nzuri kabisa ya mwezi Septemba mteja wa Meridianbet unaweza kutengeneza pesa kwa kubashiri mechi za ligi mbalimbali, wakati huo huo kampuni hiyo kubwa ya ubashiri Tanzania waliamua kutembelea hospitali ya Mwenge na kutoa vifaa maalumu kwaajili ya kuwekea Sabuni na Sanitizer.

Meridianbet waliamua kusaidia kupeleka Mashine za Kisasa za Sabuni na Sanitizer (Automatic Soap & Sanitizer Dispensers) katika Hospitali ya Mwenge ikiwa ni njia mojawapo ya kuboresha usafi na kuhakikisha mazingira yanakuwa safi muda wote kwani usafi katika hospitali ni kitu cha muhimu sana kutokana na msongamano wa watu wengi ambao wanakwenda kupatiwa matibabu.

Kampuni inalenga kushirikiana na hospitali katika kupambana na changamoto za taka ngumu na kuongeza uelewa wa usafi wa mazingira kwa wagonjwa, wauguzi na wananchi kwa ujumla kwani kulinda afya ni kitu kizuri sana, lakini pia ni vyema kujilinda na magonjwa ya mlipuko.

Utajiri wako upo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Akizungumza wakati wa makabidhiano, Afisa Mahusiano wa Kampuni hiyo Nancy Ingram alisema kuwa, “Katika Meridianbet tunaamini kuwa kusaidia hospitali kwa vifaa vya muhimu kama hivi ni njia ya kuhakikisha usalama wa wagonjwa na wahudumu. Usafi ni kinga ya kwanza dhidi ya magonjwa, na tunajivunia kushirikiana na Hospitali ya Mwenge katika harakati hizi.”

Uongozi wa Hospitali ya Mwenge umeishukuru Meridianbet kwa msaada huu muhimu, na kusisitiza kuwa mashine hizo zitasaidia kwa kiwango kikubwa katika kudumisha viwango vya juu vya usafi hospitalini.

Hii ni sehemu ya mwendelezo wa miradi ya CSR ya Meridianbet, ikidhihirisha dhamira yake ya kuinua jamii kupitia miradi yenye tija, huku ikiendeleza nafasi yake kama kiongozi katika sekta ya michezo ya kubashiri na mshirika wa kweli wa maendeleo ya jamii.

Pia Meridianbet itaendelea siku zote kuwaunga mkono watu wenye uhitaji katika jamii yetu kwani wao na jamii wanategemeana kwa kila kitu. Lakini pia Kampuni hiyo inawashihi watu kutunza mazingira kwa kutokutupa taka hovyo ili kujiepusha na magonjwa mbalimbali.

Leo hii mechi kibao zinaendelea ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana Meridianbet pekee. Ingia na utengeneza jamvi lako la ushindi hapa.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...