NI Ijumaa nyingine ya kuanza kufikiria mkwanja wa maana ambapo ligi mbalimbali zinaendelea baada ya mapumziko ya Kimataifa. Sasa ni muda wa wewe pia kurejea kuokoto kwa kubashiri mechi zako kwa dau lolote.
LALIGA leo hii kule Hispania itaendelea kwa mtanange mmoja ambapo Sevilla FC baada ya kushinda mechi yake iliyopita atakipiga dhidi ya Elche FC ambao mechi iliyopita walipoteza hivyo leo hii pointi 3 ni muhimu kwao. Meridianbet wanampa mwenyeji nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.87 kwa 4.60. Bashiri hapa.
Pia BUNDESLIGA kule Ujerumani itaendelea kwa mechi kali kati ya Bayer Leverkusen vs Eintracht Frankfurt ambao wana pointi 6 kwenye mechi mbili ambazo wamecheza huku kwa upande wa mwenyeji wao wana pointi moja pekee. Ikumbukwe kuwa Leverkusen wametoka kumtimua kocha wao hivyo sasa wanaingia uwanjani wakiwa na kocha mpya. ODDS za mechi hii ni 2.20 kwa 3.15. Beti yako unaiweka kwa nani leo?. Jijsajili sasa.
LIGUE 1 kule Ufaransa nayo itaendelea Olympique Marseille ataumana dhidi ya FC Lorient ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 7.40 kwa 1.40. Mara ya mwisho kukutana wawili hawa, mwenyeji aliondoka na ushindi kwenye mechi zote mbili. Je leo hii mgeni ataweza kulipa kisasi?. Tandika jamvi hapa.
Utajiri wako upo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Lakini pia CHAMPIONSHIP kule Uingereza nako kama kawaida litakufa jitu Ipswich Town atamaenyana dhidi ya Sheffield United ambao kwenye mechi 4 ambazo wamecheza wamepoteza zote. Mwenyeji yeye ana pointi 3. Je leo hii anni kuondoka na ushindi?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.85 kwa 4.30.
Kule Ureno PRIMEIRA LIGA itaendelea pia kwa mechi mbili ambazo zinaweza kukupatia pesa SL Benfica atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Santa Clares Azores ambao wapo nafasi ya 10 huku wenyeji wakiwa nafasi ya 4. Je nani kuondoka kifua mbele siku ya leo?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.36 kwa 9.20. Suka jamvi hapa.
Kwa upande wa CD Tondela yeye atasafiri kukipiga dhidi ya FC Alverca SAD ambao ndio wanapewa nafasi kubwa kushinda mechi hii wakiwa na ODDS 2.40 kwa 3.00. Mtanange wa mwisho kukutana mgeni alichapika hivyo leo anasaka nafasi ya kulipa kisasi. Jisajili hapa.
PROFESSIONAL LEAGUE kule Saudi Arabia inaendelea pia Al-Ittifaq atakuwa mwenyeji wa Al Ahli Saudi FC kusaka ushindi mwingine baada ya mechi zao zilizopita kuondoka na ushindi. 5.40 kwa 1.53 ndio ODDS za mechi hii. Beti hapa.
Al Shabab atakuwa uso kwa uso dhidi ya Al Hazm ambao wao ni vibonde wa mwenyeji kwani msimu uliopita wlaishinda kufurukuta baada ya kupigika mechi zote mbili yaani mechi za mzunguko wa kwanza na pili. Leo ni zamu ya kulipa kisasi kwa mgeni. Tandika jamvi ambapo ODDS za mechi hii ni 1.55 kwa 5.20. Jisajili hapa.
Bingwa mtetezi wa ligi Al-Ittihad leo hii atakuwa nyumbani kusaka pointi 3 dhidi ya Al-Fateh ambao walipoteza mechi ya kwanza ya ligi. Leo hii ni mechi ya pili hivyo wanahitaji ushindi. Je watweza kufurukuta mbele ya wababe wa ligi hiyo?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 hapa Meridianbet. 1.40 kwa 6.40 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...