Dkt. Tulia Ackson ametangaza kujiondoa rasmi katika kugombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Novemba 07, 2025. Hii inamwachia nafasi Mussa Azzan Zungu na Stephen Julius Masele kuendelea na kinyang'anyiro hicho ndani ya CCM.

Kujiondoka kwa Dkt. Tulia Ackson kunatengeneza mazingira mapya ya kuteua mgombea wa CCM kwa nafasi hiyo muhimu. Mchakato wa kuteua mgombea bado unaendelea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...