WAPENZI wa kasino mtandaoni, huu ndio wakati wako wa kung’aa. Mwezi huu, Meridianbet inakuletea ofa kabambe kupitia mchezo unaopendwa na wengi wa Aviator. Sasa paisha kindege cha Aviator na uwe miongoni mwa washindi wa simu 4 mpya aina ya Samsung A26 zinazotolewa mwezi huu wa Novemba. Ndiyo, unaweza kuwa mmoja wa wenye bahati watakaopaa kwenye utajiri kwa kishindo cha kweli.

Kila Jumatatu, Meridianbet inatoa simu moja kwa mshindi mwenye bahati. Unachotakiwa kufanya ni kucheza Aviator kupitia tovuti au app ya www.meridianbet.co.tz na kuendelea kupaa hadi kileleni mwa ushindi. Kadri unavyocheza zaidi, ndivyo nafasi zako za kushinda zinavyoongezeka. Ni rahisi sana huku ukiwa na burudani pamoja na faida tupu.

Mbali na Aviator, pia meridianbet wana kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Promosheni hii halali ilianza 01.11.2025 na inaendelea kuwepo hadi 30.11.2025, na inapatikana tu kwa wateja waliojisajili rasmi kwenye tovuti au app ya Meridianbet. Kwa kujisajili, unakuwa umekubaliana na masharti na vigezo vya promosheni, kwa hiyo hakikisha unafuata hatua zote ipasavyo ili usipitwe na fursa hii ya kipekee.

Sasa ni wakati wako wa kuruka juu, kuwa rubani kwa kupaisha kindege cha Aviator na kushinda Samsung A26 bure kabisa. Usikose nafasi hii ya kipekee ya kupaa na Meridianbet, nyumba ya ushindi usiokuwa na mipaka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...