
LEO hii wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet tunaangazia ligi kuu ya Uingereza yaani EPL ambayo msimu huu imekuwa ya moto huku baadhi ya timu zikiendelea kufanya vizuri na zingine hali mbaya. Endelea kubashiri hapa kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa.
Kutokana na uzito na ukubwa wa ligi hii pendwa viongozi wa ligi wamekuwa wakibadilika mara kwa mara na hii ni kutokana na timu ambavyo zinapambana kwa hali na mali kukaa kileleni na kuwa na ndoto za kuchukua ubingwa.
Tukianza na vinara wa ligi kuu Arsenal chini ya kocha mkuu Mikel Arteta msimu huu ulianza vizuri kwao kabisa huku ikiwa ni moja ya timu ambayo inapigiwa chapuo kuchukua taji hili hadi sasa lakini presha imezidi kuwa juu baada ya kupoteza mechi yake iliyopita. Na hivyo kufanya wawe tofauti ya pointi mbili pekee dhidi ya City.
The Gunners wana miaka 22 hawajachukua taji hili na msimu huu wanalenga kuchukua matji hayo ikiwemo pia wapo kileleni kwenye msimamo wa UEFA. Kwa upande wa Manchester City chini ya Pep Guardiola licha ya kuwa na matokeo mchanganyiko wameendelea kufanya vizuri huku wakishika nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi na baadhi ya wachezaji wakizidi kuimarika chini ya kocha huyo mwenye mafanikio kwenye mpira.
Bahati yako ipo kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Bingwa mtetezi, Liverpool mambo yamezidi kuwa mabaya kwa upande wake licha ya kufanya usajili wa wachezaji wakubwa akiwemo Wirtz, Frimpong, Alexander, Ekitike na wengine kibao lakini hali ni mbaya. Kwenye mechi 15 ambazo amecheza hadi sasa amepoteza mechi 7 akikusanya pointi 23 hadi sasa huku baadhi ya wachezaji kama Mohamed Salah akionekana kutohitajika kwenye timu hiyo hadi sasa baada ya kukaa benchi mechi 3 mfululizo.
Kocha Arne Slot ndani ya kikosi hicho haonekani msimu huu kutetea taji hilo kwani ligi hii imekuwa ya ushindani sana kila mechi imekuwa ngumu kwao kwani mechi iliyopita licha ya uongozi wa mabao mawili kule ugenini mchezo uliisha kwa sare ya 3-3. Je Liver msimu huu wataishia nafasi ipi? Bashiri na Meridianbet siku ya leo.
Mabingwa wa Dunia, Chelsea nao ni kama hawana mwendelezo mzuri wa matokeo, kwani mechii wanakupa mechi nzuri, mechi ijayo wanacheza kama sio wao hivyo kutokana na hilo bado nafasi yao ya kutetea taji hili ni ndogo mno. Kwenye pointi 9 hadi sasa The Blues wamekusanya pointi 2 pekee. Je chini ya Enzo Maresca vijana hawa wa Darajani wanweza kupamabania ubingwa wa EPL?. Jisajili na ubeti hapa.
Nao Manchester United chini ya Ruben Amorim wanasema wapo kwenye mbio za EPL kwani mpaka sasa wao na kinara wa ligi utofauti wao ni 11 ambapo yeye leo hii yupo dimbani kusaka ushindi dhidi ya Wolves ambao mpaka sasa hawana ushindi kwenye mechi yoyote. Klabu hii yenye historia Duniani miaka ya hivi imetoka kwenye timu zenye ushindani wa EPL kutokana na matokeo ambayo wamekuwa wakiyapata.
Mtanange wa leo endapo atashinda United atasogea hadi nadi anafasi ya 6 kutoka nafasi ya 12. Lakini anakutana na Mbwa Mwitu ambao wanahitaji ushindi siku ya leo. Lakini swahili je vijana wa Amorim watakubali kupoteza dhidi ya timu ambayo haijawahi kushinda?. ODDS KUBWA zipo Meridianbet.
Mshangao mwingine ni huu wa vijana wa Unai Aston Villa ambao ni moja ya timu amabyo ilianza na matokeo ya kukatisha tamaa kabisa kwani kwenye mechi 5 za kwanza za EPL hata kufunga goli ilikuwa ni shida sana, lakini kwasasa wapo nafasi ya 3 wakiwa na pointi zao 30. Villa wapo nyuma pointi 3 dhidi ya kinara wa ligi huku kocha Unai akizidi kuipika timu hiyo iwe yenye ushindani mkubwa kabisa.
Hizo ni timu ambazo mpaka sasa zipo kwenye mbio za ubingwa ligi kuu ya Uingereza (EPL). Je mpaka sasa nani unamuona anaenda kuchukua taji hili la EPL simu huu mpya wa 2025/26?. Endelea kufanya ubashiri na Meridianbet.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...