MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewataka wageni wote wanaowasili mkoani humo kwa ajili ya sikukuu za Christmas na Mwaka mpya kuhakikisha wanailinda amani ambayo wameikuta.

Babu ametoa kauli hiyo leo alipozungumza na waandishi wa habari ambapo amesema kuwa, kwa sasa wameanza kupokea wananchi wengi wanaofanya shughuli nje ya mkoa ambapo kwa sasa wamerejea kwa wazazi wao.

"Wengine wamerejea nyumbani kwa ajili ya kufanya mila za kufagia makaburi huku wengine wamekuja kusalimia ndugu jamaa na marafiki" Alisema Babu.

Alitumia nafasi hiyo kuwakaribisha wageni wote kwani walitoka Kilimanjaro kwenda mikoa mingine kutafuta ambapo pia ujio wao utachangia kuongeza mapato ndani ya mkoa.


Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...