Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania Plc, George Venanty (kushoto) akikabidhi kapu la Voda kwa moja ya mteja wa kampuni hiyo bi Regina Julius ikiwa ni muendelezo wa Kampuni ya Vodacom ya ugawaji wa makapu ya Vodacom kwenye msimu wa huu wa sikukuu, ikilenga kusherehekea pamoja na wateja wao. Hafla hii imefanyika Soko Kuu jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Home
HABARI
VODACOM TANZANIA KANDA YA KASKAZINI YAKABIDHI MAKAPU YA MSIMU WA SIKUKUU KWA WATEJA WAKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...