Na. Vero Ignatus Arusha.
Mkutano wa siku mbili wa Wadau wa Kinga ya jamii umefanyika leo Februari 9,2026 Jijini Arusha ambapo umehudhuriwa na wadau zaidi ya 1000 kutoka Tanzania Bara na Visiwani ambapo umeambatana na uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Kinga ya Jamii, katika Kituo cha Kimataifa cha AICC Mkoani hapa.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Sera hiyo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Sangu amesema miongoni mwa wadau wakubwawa sekta ya ya kings ya Jamii ni walioshiriki katika mkutano huo ni pamoja na PSSSf ambapo.imeweza kuongeza idadi ya wanachama kutoka 697,677 juni 2020 Hadi kufikia 889,948 disemba 2025
Sangu, aliwataka wadau wa mifuko ya hifadhi ya jamii kuimarisha utoaji wa huduma kwa kuhakikisha taarifa za wanachama zinakuwa sahihi na waajiri wote wanawasilisha michango kwa wakati ili kuepusha usumbufu kwa wanachama.
"Mifuko iimarishe utoaji wa huduma kwa kuhakikisha taarifa za wanachama zipo sahihi na waajiri wote wanawasilisha michango kwa wakati katika hili kila mwajiri atekeleze wajibu wake ."'alisema Sangu.
Sangu amesema thamani ya mfuko PSSSf ineongezeka kutoka trillion 5.66 juni 2020 hadi kufikia trillion 10.51 seaemba 2025 na kusema kuwa Serikali ya awamu ya sita iliahidi kwamba Sera hiyo itahakikusha kuwa hakuna Mtanzania atakayebakia nyuma atakapopata changamoto kama ulemavu, umaskini uzee,majanga ya asili ukosefu wa ajira
"Hivyo basi mifuko yote ikiwemo PSSSf, NSSF na WCF imeongezeka kutoka trillion 10.43 june 2020 hadi kufikia trillion24. 20desemba 2025
Kwa upande wake mkurugenzi Mkuu Wa PSSSf ndugu Fortuatus Magambo ameseema kwamba wapo mstari Wa mbele katika kutekeleza kwa vitendo Sera ya Taifa ya kinga ya Jamii na kuendelea kuwahudumia wanachama wao, huku akisema katika kipindi cha nusu mwaka. Julai hadi disemba 2025 PSSSf iliingiza katika mzunguko Wa fedha kwa njia ya ulipaji Wa mafao sh. Bilioni 883.
Akitoa salamu za Bunge kwa niaba ya Mhe. Hawa mchafu Chakoma Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya ustawi na maendeleo ya Jamii akimuwakilisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania Hassan Zungu amesema Bunge linalo jukumu la kutunga sheria mbalimbali kwa kusimamia kanuni miongozo na Sera
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Masha Mshomba, amesema hakuna sababu kwa mwananchi aliyejiajiri kushindwa kujiunga na Mfuko huo kutokana na maboresho makubwa yaliyofanywa ambayo yanawawezesha kunufaika na mafao mbalimbali sawa na waajiriwa wa sekta ya umma na binafsi.
Mshomba amesema kuwa thamani ya mfuko NSSF imeongezeka kutoka trillion 4.36 juni 2020 hadi, zkufikia trillion 10.40 disemba 2025 ambapo awali walikuwa wanawekeza trilliin 3.14 2020 - disemba 2025 trillion 8.74
Alisema mwananchi atakayejiajiri na kujiunga na NSSF atanufaika na mafao ya pensheni ya uzeeni, urithi, ulemavu, uzazi, matibabu pamoja na mafao mengine ambayo awali hayakuwa yakipatikana kwa kundi hilo.
Ikumbukwe kuwa mwaka 2018 Serikali ilifanya maboresho katika sekta ya kinga ya Jamii NCHINI ikaweza kuunfanisha mifuko iliyokuwepo na kubakisha mifuko miwili mmoja kwaajili ya Sekta ya I'mma (PSSSF) na mfuko mwingine kwaajili ya Sekta binafsi (NSSF) ambapo mabadilliko hayo yalifanyika ili kuleta ufanisi katika uendeshaji.

.jpeg)

.jpeg)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...