TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, Leo Februari 13 imekutana na Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali George Waitara.
Mahojiano hayo ya Tume na Waitara yamefanyika katika Ofisi za Tume hiyo zilizopo Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Mambo yaliyojadiliwa ni pamoja na namna Matukio haya yalivyoanza, yalivyoathiri wakazi wa Mkoa wa Arusha, Mali na Miundombinu yake.
Hata hivyo Tume inaendelea na mahojiano na waathirika wa Matukio hayo kwa ajili ya hatua zaidi kama Taifa ili Matukio kama hayo yasijirudie tena.








Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...