Watumishi wa ofisi ya Rais Tume ya Utumishi wa Umma, leo Februari 4, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Hamisa H. Kalombola, wametembelea hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro iliyopo mkoani Arusha ikiwa ni sehemu ya utalii wa ndani, mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi, uliofanyika jana Februari 3, 2026.
Home
Unlabelled
WAFANYAKAZI TUME YA UTUMISHI WA UMMA, WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA NGORONGORO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)













Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...