LEO Ijumaa Mei 15, 2026, saa 22:00, uwanja wa Villa Park utakuwa mwenyeji wa Aston Villa dhidi ya Liverpool kataki mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) . Aston Villa wapo nafasi ya 5 kwenye msimamo wakiwa na pointi 58 baada ya mechi 35 ushindi 17, sare 7 na kupoteza 10.

Liverpool wamo nafasi ya 4 kwa pointi 58 pia, lakini wana tofauti ya mabao bora zaidi . Hivyo ni mchezo wa moja kwa moja wa kuwania nafasi ya nne inayopeleka michuano ya Ulaya, na timu inayoshinda itapata faida kubwa.

Katika historia ya Ligi Kuu, timu hizi zimekutana mara 54. Liverpool wameshinda mara 31, Aston Villa mara 13, na sare mara 10 . Katika michezo 5 ya mwisho, Liverpool wamepata ushindi mara 3, sare mara 2, na hawajapoteza hata mara moja .

Msimu huu, Liverpool waliwafunga Aston Villa 2-0 nyumbani Anfield Novemba 1, 2025. Mabao katika mechi 5 za mwisho: Liverpool wamefunga 12, Aston Villa wamefunga 5.

Mchezo huu ulipangwa kuchezwa Jumapili Mei 17, lakini ulihamishiwa Ijumaa Mei 15 kwa sababu Aston Villa wamefika fainali ya Europa League . Villa watazindua fainali dhidi ya Freiburg Jumatano Mei 20 nchini Uturuki .

Hali hii inaweza kuwafanya kocha Unai Emery aagawe wachezaji wake, akibakiza timu yake kuu kwa ajili ya fainali . Liverpool wana nafasi ya kukutana na timu iliyochoka na yenye lengo lingine faida kubwa kwa wageni .

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Liverpool wana habari njema Ryan Gravenberch amerejea mazoezini na anaweza kucheza licha ya kukosa mechi tatu mfululizo kutokana na jeraha . Hata hivyo, kiungo Curtis Jones ana asilimia kubwa ya kutocheza kutokana na jeraha la misuli, na Alexander Isak naye hayupo. Aston Villa wana wachezaji wao wote muhimu kwa sababu hakuna taarifa za majeruhi wakubwa, lakini wana mzigo wa fainali ya Ulaya baada ya siku 5 tu.

Villa wameingia fainali ya Europa League baada ya kuibuka 4-0 dhidi ya Nottingham Forest jumla ya mabao 4-1 . Liverpool wanatafuta pointi kudumisha nafasi ya nne . Kwa takwimu Liverpool wana rekodi bora ya kihistoria kwenye Villa Park; kocha Arne Slot anaweza kutumia vyema udhaifu wa Villa wanaolenga fainali.
Liverpool wana Gravenberch anayerejea na kuongeza nguvu kwenye safu ya kati , na historia inaonyesha Liverpool hawajapoteza kwa Villa katika michezo 5 ya mwisho, Lakini Villa wakiwa nyumbani na mashabiki wao, haiwezi kutengwa kama Emery atachukua tahadhari. Jisajili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...