-Yakabidhi kompyuta mpakato 35 kwa Tume ya Ushirika


Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania Bw. Nguvu Kamando (wa pili kulia) pamoja na  Mrajisi wa Vyama  Vya ushirika nchini Dk. Benson Ndiege (wa pili kushoto) wakisaini makubaliano  ya matumizi ya kidijitali kwa vyama vya ushirikia kupitia jukwaa la M-Kulima la kampuni ya Vodacom Tanzania PLC. Tukio hilo lilishuhudiwa na Mkuu wa Idara ya Mifumo ya Kidijitali wa Vodacom Tanzania Bi. Yvone Bayona (kulia) na Naibu Mrajisi wa Vyama Vya Ushirika Bw. Collins Nyakunga.

Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania Bw. Nguvu Kamando (wa pili kulia), akikabidhi moja ya kompyuta mpakato kati ya 35 zilizokabidhiwa kwa Mrajisi wa Vyama  Vya ushirika Dk. Benson Ndiege (wa pili kushoto) wakati wa utiaji saini makubalino kati yao. Hafla hiyo imefanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam baada ya taasisi hizo mbili kuingia makubaliano ya matumizi ya kidijitali kwa vyama vya ushirika kupitia jukwaa la M-kulima, makao makuu ya Vodacom Tanzania jijini Dar es salaam. Tukio hilo lilishuhudiwa na Mkuu wa Idara ya  Mifumo ya Kidijitali wa Vodacom Tanzania Bi. Yvone Bayona (kulia) na Naibu Mrajisi wa Vyama Vya Ushirika Bw. Collins Nyakunga.

Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania Bw. Nguvu Kamando (wa pili kulia), Mrajisi wa Vyama  Vya Ushirika Dk. Benson Ndiege (wa pili kushoto),  Mkuu wa Kitengo cha Mifumo ya Kidijitali wa Vodacom Tanzania Bi. Yvone Bayona (kulia), Naibu Mrajisi wa Vyama Vya Ushirika Bw. Collins Nyakunga (kushoto). wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wengine baada ya kusaini makubaliano ya matumizi ya  kidijitali katika vyama vya Ushirikia kupitia jukwaa la M-Kulima la Vodacom Tanzania PLC 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...