Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) inapenda kuwataarifu wadau wote kuwa muda wa kuwasilisha Expression of Interest (EOI) kwa ajili ya uwekezaji kwenye ardhi zinazomilikiwa na TBA kupitia mfumo wa Public-Private Partnership (PPP) umeongezwa.

Hii ni fursa kwa wawekezaji wenye sifa kuandaa na kuwasilisha maombi yao ndani ya muda mpya uliotangazwa.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...