MERIDIANBET imeongeza gia nyingine kwenye burudani kwa kuileta Non-Stop Blasts & Races, kampeni yenye zawadi zenye thamani ya hadi TZS 75,000,000,000. Hii ni kampeni inayowaleta pamoja wachezaji, mashindano na zawadi katika safari inayoendelea kupitia michezo iliyochaguliwa ya Playson. Kama unapenda kuona nafasi mpya zikifunguka mara kwa mara, basi hii ni ya kufuatilia.

Kwenye Power Blasts, kila mchezo unaweza kuwa na zawadi yake. Wachezaji wanaoshiriki kwenye michezo inayokidhi vigezo wanaweza kupata smart drops za bahati wakati wanacheza. Zawadi hizo zinaweza kujumuisha fedha taslimu, mizunguko ya bure na vizidishi.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Halafu tunahamia kwenye Grand Races, ambako ushindani unakuwa wa muda mrefu zaidi. Wachezaji hukusanya pointi kupitia michezo inayostahili na kupambana kwa nafasi kwenye msimamo. Kila pointi inaweza kuwa muhimu katika safari ya kupanda viwango, huku kila mshiriki akijaribu kumaliza akiwa juu zaidi ya wengine. Hii ni sehemu inayowapa nafasi wachezaji wanaopenda ushindani wenye mwendelezo.

Kwa upande wa kasi, Turbo Races zinaingia moja kwa moja kwenye tukio. Hizi ni mbio fupi zenye ushindani wa haraka na nafasi za mara kwa mara za kuingia kwenye kinyang'anyiro. Msimamo unapowekwa upya, wachezaji wanapata nafasi nyingine ya kupanda juu.

Uzuri wa kampeni hii ni kwamba Non-Stop maana yake tukio linaendelea katika awamu mbalimbali. Michezo inayoshiriki, zawadi, prize pools, na ratiba za mbio zinaweza kutofautiana kulingana na awamu ya promosheni. Kwa hiyo, fuatilia michezo inayoshiriki, angalia mbio zinazoendelea na uwe tayari kwa zawadi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...