Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano Bi.Julitha Mlay akizungumza na mwananchi aliyetembelea banda la Tume ya Taifa ya UNESCO kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga.

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano Bi.Julitha Mlay akizungumza na Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wa Shule ya Sekondari Usagara  wakati walipotembelea banda la Tume ya Taifa ya UNESCO kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano wa Tume ya Taifa ya Unesco  Bi.Julitha Mlay akiwaonesha namna ya  fursa za Tume hiyo kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wa Shule ya Sekondari Usagara  wakati walipotembelea banda la Tume ya Taifa ya UNESCO kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano wa Tume ya Taifa ya Unesco  Bi.Julitha Mlay akiwa katika picha  ya pamoja na  Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wa Shule ya Sekondari Usagara  wakati walipotembelea banda la Tume ya Taifa ya UNESCO kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano  Bi.Julitha Mlay akizungumza na mwananchi aliyetembelea banda la Tume ya Taifa ya UNESCO kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...