SEVILLA watawakaribisha Rayo Vallecano nyumbani kwao katika uwanja wa Ramón Sánchez-Pizjuán, katika mechi itakayofungua rasmi msimu mpya wa ligi kuu ya Uhispania (LaLiga) 2026/27.

Mechi hii inatarajiwa kuanza saa 21:30 usiku na itakuwa fursa ya kwanza kwa mashabiki kuona mabadiliko ambayo timu hizi mbili zimeyafanya wakati wa mapumziko ya kuuendea msimu mpya.

Historia ya michezo baina ya timu hizi mbili inaonyesha Sevilla wakiwa na ubora mkubwa. Katika michezo kumi iliyopita, Sevilla wameshinda mara 13, Rayo wameshinda mara mbili tu, huku sare zikiwa sita.

Katika mchezo wao wa mwisho msimu uliopita (Machi 2026), mechi iliishia sare ya 1-1, ikionyesha kuwa Rayo wamekuwa wakijizuia vizuri wanapokutana na Sevilla licha ya rekodi hiyo ya kihistoria.

Kuhusu hali ya sasa ya wachezaji, Sevilla wanakabiliwa na changamoto ya majeraha. Mchezaji Marcao bado yuko kwenye mazoezi maalum baada ya jeraha la paja, huku Isaac Romero (Sanchez) akitarajiwa kukosa wiki mbili hadi tatu kutokana na tatizo la goti na paja aliloumia hivi karibuni. Hii inaweza kuathiri ulinzi na mashambulizi ya Sevilla mwanzoni mwa msimu.

Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. In gia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwa ujumla, hii ni mechi muhimu ya Kimkakati, Sevilla wanatarajiwa kutumia mfumo wa 3-4-2-1 wenye ulinzi wa nyuma watatu, huku Rayo wakiwa na mfumo wao wa kawaida wa 4-2-3-1 unaotegemea msisimko wa mashambulizi ya haraka kupitia pembeni.

Kama msimu uliopita ulivyoonyesha, mechi kati ya timu hizi mbili mara nyingi huwa na mabao machache lakini yenye ushindani mkubwa wa kati ya uwanja. jisajili sasa

ufunguzi wa msimu kwa timu zote mbili, ambazo msimu uliopita zilimaliza karibu na sehemu za kati za msiamamo wa ligi kuu Uhispania. Ushindi katika mechi hii utatoa mwanzo mzuri kwa timu yoyote itakayofanikiwa kuushinda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...