Matukio mbalimbali katika Picha Leo Jumamosi ya Septemba 26 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam katika Hitma ya marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan ambaye alifariki dunia Septemba 7 mwaka huu Tukio hilo linaenda sambamba na dua ambayo katika imani ya dini ya kiislamu ni msingi wa ibada ambayo Mwenyezi Mungu (Allah) anawakumbusha wanadamu kujiombea msamaha wao kwa wao na kuwaombea msamaha ndugu zao walio tangulia mbele za haki na kutoa shukrani.







Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...