MERIDIAN Sports App ni jukwaa la kidijitali linalokuwezesha mwanamichezo kupata taarifa mbalimbali za michezo kutoka sehemu tofauti duniani kupitia simu yako. App hii inapatikana kwenye Google Play Store kwa watumiaji wa Android na App Store kwa watumiaji wa iOS, hivyo mashabiki wanaweza kuipakua na kufuatilia taarifa kwa urahisi.

Kupitia Meridian Sports App, wafuasi wa michezo wanaweza kupata taarifa mbalimbali kuhusu soka, huku ligi kubwa duniani zikipewa nafasi. Miongoni mwa ligi hizo ni Premier League ya England, LaLiga ya Hispania, Ligue 1 ya Ufaransa, Serie A ya Italia, Saudi Pro League pamoja na Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

Mbali na ligi hizo, App hiyo pia inawapa mashabiki taarifa kuhusu michuano mikubwa ya kimataifa barani Ulaya na Afrika. Watum iaji wanaweza kufuatilia habari za UEFA Champions League, Europa League na Conference League, pamoja na CAF Champions League na CAF Confederation Cup.

Meridian Sports App pia inaangazia maisha ya wachezaji ndani na nje ya uwanja. Kupitia jukwaa hilo, mashabiki wanaweza kupata habari kuhusu wachezaji mbalimbali, matukio yanayowahusu pamoja na shughuli zao nje ya uwanja, hivyo kuwapa picha pana zaidi ya maisha ya nyota hao.

Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Mbali na soka, Meridian Sports App inatoa taarifa kuhusu michezo mingine maarufu duniani. Watumiaji wanaweza kufuatilia habari za Basketball, Boxing, Tennis na Riadha, jambo linalowapa nafasi ya kupata taarifa za michezo mbalimbali kupitia jukwaa moja.

Kwa mashabiki wanaotaka kuwa karibu na taarifa za michezo kila siku, Meridian Sports App ni sehemu ya kufuatilia habari mbalimbali kwa urahisi kupitia simu. Unaweza kuitafuta na kuipakua Meridian Sports App kupitia Google Play Store kwa Android au App Store kwa iOS na kuendelea kufuatilia taarifa za michezo kutoka Tanzania na duniani kote.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...