Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, leo Novemba 25, 2026, anafungua Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 56 wa Chama cha Wafamasia Tanzania (PST), katika Ukumbi wa Kwatunza Beach jijini Mwanza.
Mkutano huo wa siku tatu wenye kaulimbiu isemayo “Mabadiliko ya Kizazi: Kujenga Uwezo wa Mfamasia Kuongoza Mageuzi katika Afya na Utengenezaji wa Dawa nchini Tanzania” unawakutanisha wafamasia, wafamasia wasaidizi na wadau wa sekta ya afya kujadili maendeleo ya taaluma, kubadilishana uzoefu na kuimarisha mchango wa sekta hiyo katika kufanikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

.jpeg)

.jpeg)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...