Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kielelezo cha Viwango vya Faida vya Dhamana za Serikali (Government Securities Yield Curve), katika hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kilimanjaro, Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni Kamishna Idara ya Usimamizi wa Madeni, Wizara ya Fedha, Bw. Japhet Justine (wa tatu kushoto), Naibu Gavana, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dkt. Yamungu Kayandabila (wa pili kushoto) na Kaimu Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bi. Dionisia Mjema. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Nicodemas Mkama.


Meza kuu ikiongozwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), wakifurahia baada ya kuzinduliwa rasmi kwa Kielelezo cha Viwango vya Faida vya Dhamana za Serikali (Government Securities Yield Curve), katika hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kilimanjaro, Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumnza katika hafla ya uzinduzi wa Kielelezo cha Viwango vya Faida vya Dhamana za Serikali (Government Securities Yield Curve), iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kilimanjaro, Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.
Kamishna Idara ya Usimamizi wa Madeni, Wizara ya Fedha Bw. Japhet Justine, akizungumnza katika hafla ya uzinduzi wa Kielelezo cha Viwango vya Faida vya Dhamana za Serikali (Government Securities Yield Curve), iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kilimanjaro, Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.
Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Bw. Nicodemas Mkama, akizungumnza katika hafla ya uzinduzi wa Kielelezo cha Viwango vya Faida vya Dhamana za Serikali (Government Securities Yield Curve), iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kilimanjaro, Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bw. Peter Nalitolela, akizungumnza katika hafla ya uzinduzi wa Kielelezo cha Viwango vya Faida vya Dhamana za Serikali (Government Securities Yield Curve), iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kilimanjaro, Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Kielelezo cha Viwango vya Faida vya Dhamana za Serikali (Government Securities Yield Curve), iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kilimanjaro, Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.
Meza kuu ikiongozwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, (Katikati, walioketi), wakiwa katika picha ya pamoja na wadau baada ya kuzinduliwa rasmi kwa Kielelezo cha Viwango vya Faida vya Dhamana za Serikali (Government Securities Yield Curve), katika hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kilimanjaro, Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam.)