Home
Unlabelled
ustaadhi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mhmm!!! Haya yalikuwa mashindano ya Mbuzi au kulikuwa na nini MICHUZI? Au ndio ule utaalamu wa Bongo? (Kabla mechi haijaanza?)
ReplyDeleteinatia raha, tukisema hakuna haja ya mtu kuwa masikini bongo watu wanabisha! umeona wapi kondoo wanamfuata mtu kwa kasi kubwa kiasi hiko!
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteHii picha nimeipa Tuzo ya Blogu za Kiswahili. Kweli wazee wetu wana "utaalamu." Kilichobaki sasa ni kutumia utaalamu huo kuinua taifa letu kisayansi na kiteknolojia. Kwa mfano, wazee wetu wakianzisha shirika la usafiri wa ungo, makampuni ya ndege itabidi yanyanyue mikono.
Kwanza wapi duniani utaona mbuzi/kondoo wanafuata binaadamu vile. Utafikiri mbwa aisee...
ReplyDelete