ustaadhi akiingia neshno stedium tarrrtiiibu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mhmm!!! Haya yalikuwa mashindano ya Mbuzi au kulikuwa na nini MICHUZI? Au ndio ule utaalamu wa Bongo? (Kabla mechi haijaanza?)

    ReplyDelete
  2. inatia raha, tukisema hakuna haja ya mtu kuwa masikini bongo watu wanabisha! umeona wapi kondoo wanamfuata mtu kwa kasi kubwa kiasi hiko!

    ReplyDelete
  3. Michuzi,
    Hii picha nimeipa Tuzo ya Blogu za Kiswahili. Kweli wazee wetu wana "utaalamu." Kilichobaki sasa ni kutumia utaalamu huo kuinua taifa letu kisayansi na kiteknolojia. Kwa mfano, wazee wetu wakianzisha shirika la usafiri wa ungo, makampuni ya ndege itabidi yanyanyue mikono.

    ReplyDelete
  4. Kwanza wapi duniani utaona mbuzi/kondoo wanafuata binaadamu vile. Utafikiri mbwa aisee...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...