
lady jd na kundi lake la machozi band wakiwasili zenj leo asubuhi tayari kwa kushiriki kwenye tamasha la sauti za busara kwenye ukumbi wa ngome kongwe. wasanii takriban 300 wanatarajiwa kushiriki kwenye tamasha hili linalodhjaniwa ni kubwa kuliko matamasha yote ya muziki afrika mashariki na ya kati, na la pili kwa umaarufu nyuma ya tamasha la filamu la zanzibar. mie tayari nshatinga zenj na mtimkubwa kanituma nionane na shemejie, martin mhando, aliye hapa kushuti filamu ya tamasha hili.
Michuzi Martin Mhando mwambie anasalimiwa na mtoto wake wa ubatizo
ReplyDelete