Home
Unlabelled
graduesheni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
At Last hahahaha!
ReplyDeleteMzee wa kiraracha, amepania kuwa rais wa kwanza wa tz kuwa na PHD. Kwa sasa anajifua kuitafuta Msc, kabla ya uchaguzi 2010 lazima awe na kivumishi cha jina kinachooanza na Dr.
ReplyDeleteHuyu bwana sidhani kama ana ngekewa ya urais. Apumzike tu, umri utamuangusha kama kweli nia ni kugombea uraisi.
ReplyDeleteAwaulize watu kama Senator John Mc Cain au Al Gore.Wamesahau ndoto za uraisi.
Lakini niulize kapata degree ya wapi na ni chuo gani?Usijekuta kanunua tu.
wewe upo dunia ya wapi ujui ya kwamba US Senator John McCain sasa hivi anapiga kampeni za chini chini kabla ya uchaguzi haujafika.ni kiongozi ambaye wanaita favour kuwa mgombea wa urais kupitia chama cha republican.fuatilia hili.
ReplyDeleteSeneta makene au mc cain bado ana bid this time Inno. Na jitihada zake zipo katika immigration Bill kama unafatilia siasa za hapa Marekani. Bill hii inaweza kumnyayua maana Keneddy Teddy hana nafasi labda kubid tena kwa John Kerry au Clinton mke ambapo kuna mchezo mgumu sana ndani ya Democrats
ReplyDeleteKaisomea online.
ReplyDeleteNasikia siku hiyo ilikuwa balaa, manake alizungushwa na gari la wazi mji mzima huku akipungia mkono wananchi.
ReplyDeleteKama lyatonga ana digrii ya ukweli basi mi nairudisha yangu siitaki tena
ReplyDeleteInfo za shule aliyosoma Lyatonga
ReplyDeletehttp://en.wikipedia.org/wiki/Pacific_Western_University
acheni zalau nyie na videgree vyenu viwili vitatu vya kukremu.watu wenye elimu zao wanakaa kimya na kuendelea kusoma kwa zaidi.
ReplyDeletewe soma kuhusu hiyo shule yake.
ReplyDelete