jk alipotembelea banda letu shindi sabasaba mwaka jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi,

    Wewe ndio ulipata tenda ya kupiga picha zile za Kikwete za kampeni?

    Ahsante.

    ReplyDelete
  2. Michuzi huyu mshikaji wa hapa kulia kwa Kikwete ulimtoa wapi mudhee namkumbuka sana huyu enzi hizo tukisoma darasa moja pale juu ya kale kamlima ka Changanyikeni!

    ReplyDelete
  3. HONGERA MICHUZI! UNAKUMBUKA ENZI ZA KIBASILA SEKONDARI & YMCA? WHO
    KNEW UTAPIGA PICHA NA RAISI ONE DAY? KEEP IT UP BRO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...