alm akionesha nondo zake hadharani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Lyatonga ningekuwa wewe ningeficha hilo digrii lako la chuo famba

    ReplyDelete
  2. pacific western university?!!! chuo gani cha uchochoroni? hata huoni aibu loo!

    ReplyDelete
  3. hivi mrema una tatizo gani hasa??? mbona hujiamini ushatuambia umepata digrii mbona waendelea kutuonyesha nyesha UNATAKA TUKUSTUKIE SASA AU?

    ReplyDelete
  4. mrema nilimpa kura 95, nadhani ni uamuzi mbovu kabisa niliowahi kufanya maishani mwangu. Huyu mtu ni joke. Nadhani anatumiwa na serikali kufaidika na 'ujinga' wa watanzania kama sisi. Mimi na wewe tunajua hiki ni chuo feki lakini mamilioni ya watanzania hawakaona tofauti ya mrema na profesa sarungi!

    ReplyDelete
  5. Hivi we mzee una akili kweli?huchoki kupigwa mabomu hadharani kila siku,embu check uso ulivyokukauka,utakufa na siasa bila manufaa yoyote.

    ReplyDelete
  6. Kwanza tumulize Mrema kapata degree gani the BS OR THE BI?. BS stand for bachelor of stupid while BS stand for bachelor of Intelligent....

    ReplyDelete
  7. Hawa wanawake ambao kila wakati Mrema anapoonyesha vyeti vyake, wakati wa graduation wanakuwa pembeni yake ni akina nani? Naanza kuhoji uelewa wao si ajabu ni mdogo kwani kama akili zao ni timamu sidhani kama wanaweza kuandamana na mtu ambae amechanganyikiwa

    ReplyDelete
  8. Hicho "Pacific Western University" kinajulikana ni chuo feki.

    Bora asingeonyesha labda watu wasingemshtukia!

    ReplyDelete
  9. mrema hicho cheti kaprinti tu kwenye computer,halafu hao wanawake pembeni yake ndo wakasaini kama ma dean..

    ReplyDelete
  10. Michuzi kuondoa ubishi tafadhali tuweke anuani ya chuo hicho na zip code yake sisi tulioko huku tuwasaidie kukitafuta na tuone ukweli wa mambo.Marekani kuna digrii hata za wanamichezo ambao hushinda uwanjani wakirudi chuoni wanapewa credit hours.Hilo limewafanya baadhi ya wamarekani akitoka New York akaenda state nyingine jirani kama vile washington d.c anakwambia (i have travelled all over the world)watu kama hao wanadigrii ambazo walipewa kutokana na shughuli hivyo digrii za hapa zichunguzeni tupunguze vihiyo jamaani

    ReplyDelete
  11. Nafuu yeye ameonyesha Nchimbi mbona anakificha. Chuo cha Mrema ni bora kuliko Nchimbi.

    ReplyDelete
  12. Mbongo 123 tunashukuru kwa kutudhimbitishia kwamba chuo cha mzee wa kiraracha ni feki. Huyu bwana jinsi anavyokazana kuonyesha hizo nondo zake mpaka jamii inakuwa na wasiwasi na uhalali wa hiyo basic degree yake. Hata hivyo wapo wengi tuu wenye degree za online za nusu mwaka. Tunaomba waajiri wawe makini na vyuo vyenye utata

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 01, 2006

    Mahanga na Nagu tazameni

    ReplyDelete
  14. http://www.answers.com/topic/pacific-western-university

    check out the link

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...