mmoja wa wabunge mayanki mh. zitto kabwe wa kigoma kaskazini akichangia bungeni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Duh mbona hatuwapi comments wabunge wetu? Au kwa sababu hamna totoz?

    ReplyDelete
  2. Alikuwa akichangia hoja kwenye mjadala gani?

    ReplyDelete
  3. Namkumbuka sana katika siasa za chuo kikuu cha dar es salaam miaka ya 2002/2003 japokuwa mara nyingine alikua msaliti na kigeugeu katika kuyafikisha mbele kwenye uongozi masuala ya wanafunzi.

    Kituko kingine kikubwa ni pale aliposimama kidete kumpigia kampeni dem wake katika kinyang'anyiro cha kugombea urais wa DARUSO.

    ReplyDelete
  4. Fikrathabiti, embu nikumbushe jina la yule demu wake... nasikia pia jamaa alikuwa ameokoka.

    ReplyDelete
  5. HILI JENGO LA BUNGE INAONYESHA SIO ZURI, WAZEE WAMEBANANA KAA DARASANI, NA WENGINE HATA MBELE HAWAONI NADHANI.VICHWA TUU VINAONEKANA.WENMGINE WANAKULA KUCHA! MMM THISI IZ NOTI GUDI JENGO

    ReplyDelete
  6. Sasa Fikrathabiti, tatizo hapa ni kumpigia debe demu wake au ni demu kuwa na uwezo wa kuwa presdaa? Kama demu alikuwa na uwezo hakuna kituko hapo.
    Anyon, kwenye Uislamu kuna Ulokole? awezaje basi awe Muislam halafu awe Mlokole? Source zako ni feki :)

    ReplyDelete
  7. wajomba unajua hili swali la vazi la taifa lina umuhimu wake huu ujinga wa kujitwisha suti na joto letu kule hivyo mantiki yake nini lakini??? Walah bado tunakazi sana
    - Chitalu

    ReplyDelete
  8. Sasa vazi ka kitaifa ndio litakuwaje ili kuzui joto? Humo ukumbuni ni kipupwe masaa ishirini na nne kwa hiyo sababu ya joto haina mantiki. Hata hivyo a gentleman has no weather.

    ReplyDelete
  9. Zitto nakumbuka alipokuwa akichangia hoja katika kuunda katiba ta NUTAS pamoja na Kitila Mtumbo(may be also mheshimiwa today)......kaka michuzi ukikutana na Mh.Zitto Kabwe jaribu kumuulizia NUTAS iliishia wapi?zemarcopolo@yahoo.co.uk

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...