Home
Unlabelled
mheshimiwa zoezini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ebu tuwekee picha na mumewe, maana tumesikia naye anahusika kwenye sakata ya watu wanafuga majambazi hapa mjini. hii ni kweli wala sio tetesi.jamjauh
ReplyDeleteAC is a true hollywood story. She was always destined to be a superstar, there is something about her that very few people in TZ have. I know her from way back. She probably won't remember me if I meet her today.
ReplyDeleteHuyu mh.nadhani si mbaya kama mnavyo msema.Binafsi nampenda kwa namna anavyoweza kupambana bila woga hasa kwa lile analoliamini.Nadhani mnakumbuka ndoa yake ilivyo kuwa ya mizengwe lakini mwishowe akaolewa.
ReplyDeleteTumpe nafasi umri ukisha mkaa aweza kuwa mzuri kwa vijana wanao hangaika na maisha mapya.Ila Michuzi tafadhali tuwekee picha yake inayomwonyesha kama binti na siyo hizo akiwa kama mama mtu mzima.
hivi nini maana ya muheshimiwa na huo msemo unakuja tu pale unapopata ubunge, uwaziri ama uraisi? mbona alipokuwa cloud hamkumuita hivo? mbona alipozungusha 0 hamkuita hivo? inakuwaje wajameni?
ReplyDeleteHebu wa Tz tuwe na akili na mioyo ya kuwa wakweli na tusiongozwe na roho za kwanini.unajua AC ni mdogo sana kiumri na ameweza kupigania mafanikio kimaisha na kuwaacha wale waliokuwa juu yake...sisi kama waTZ tulipaswa kumpa moyo na kumfanya ni mfano kwa mabinti zetu na dada zetu...badala yake tunajaribu kumkatisha tamaa inaboa na kuuma sana ....tubadilike...WATANZANIA TUNAZEEKA MAPEMA KWAAJILI YA ROHO MBAYA AU MAJUNGU!
ReplyDeletealiyosema anon hapo juu ni kweli, mumewe anahusika na majambazi, na hata maskani yake moja pale sinza imefungwa na polisi,
ReplyDeleteMichuzi, tunaomba sana ututumie picha za hao vigogo majambazi hapo Dar....naona vijana wanajivinjali kumbe usiku waporaji...ni vizuri sana kuwajua ....tafadhali
ReplyDeleteKaka Michuzi, kweli picha zako na maandshi yako kemkemu yamenivutia kwa mda mrefu sana nimeona leo nijitokeze nikupe sifa mwenzangu.
ReplyDeleteNaridhika sana kuona kuna mwenzangu shabiki wa picha na taarifa zake. Endelea kwa mwendo huohuo!
Utanipata pia katika blogu yangu ya pili hapa:
http://tafsiri.blogspot.com
KAKA MICHUZI MBONA HUJAWEKA PICHA LEO? JE NI KWASABABU YA HAWA WAJINGA WACHACHE WENYE NIA NA MADHUMUNI YA KUKUKANDAMIZA? KWELI NASHIRIKI KUUMIA PAMOJA NAWE LAKINI NATAKA NIKUONDOE SHAKA SISI TULIO WAKO BADO TUNAKUHITAJI TENA SANA TUKITAMBUA UMUHIMU WA BLOG HII,MICHUZI WEWE NI MTU MZIMA UMEPITIA,TUMEPITIA MENGI YAFANANAYO NA HAYA HIVYO SITEGEMEI HILI AMBALO NAAMINI ULILITEGEMEA KWA KUIJUA FIKA JAMII YETU LIKUTINGISHE...NAOMBA UNIFAHAMISHE KWAMBA KUNA SABABU NYINGINE ZA KIMSINGI ZILIZOKUFANYA USIWEKE PICHA LEO SIKU YA JUMATATU TAREHE 24/04/2006 NA SI HII AMBAYO NINAYO KATIKA MAWAZO YANGU,MUNGU IBARIKI TZ MUNGU MBARIKI ISSA MICHUZI.
ReplyDeletekaka anony, j3 nilikuwa nje ya mtandao. picha nitaweka kwani ziko nyingi kiasi hata sioni faida ziishie kudodea kwenye ghala. mie huwa sisumbuliwi na maneno na hata matusi. nawahofia nyie mnaonitembelea kwani inaonesha kuna wenye nia ya kuwafukuza kwangu. kama mnanihakikishia mtaendelea kuja kwangu, basi msihofu. wache waseme tani yao. si unajua tena demokrasia?
ReplyDeleteshukrani michuzi,pia mimi ni anony (dada)
ReplyDeleteAsante Michuzi... yaani hawa wachache wanataka kutuondolea burudani yetu! Watokomee kabisa!
ReplyDeleteProfile ya huyu ex-CD ni chafu! ngoja iko siku niitaiweka humu hadharani harafu tuone kama atafaa kuitwa Mhesimiwa fulani.......
ReplyDeleteshe was too good for you anyway,don't bother to put anything concerning her, we understand when someone is DUMPED take it easy,you're the man then be like one.
ReplyDeletehuyo chifupa mi nilishamkaza nyuma mara kibao,tena mtungo basi, eti leo nyi mnamwita mheshimiwa, what the fuck is that????
ReplyDeleteAC is a true holywood star........!! my punts! just tell me one positive thing that she has done to change young people's life in TZ prior to her being nominated? or anything during her previous post(radio??!!). I think that is a complete hipe and the same old TZ that cronnies will always be on Top!!! Surely there ought to be well educated young academics!! Tell us what you saw on her? fightting for the so called husband doesnt prove that one is brave enough to lead young people!! what are her uniquness if i may ask?
ReplyDeleteMK