namzimia sana huyu bwana. kama kuna mtu mwenye khabari zake naomba!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huyu jamaa hata mimi namzimia. Mara ya mwisho alionekana Abu Dhabi TV akitoa commentary kuhusu Saddam Hussein kifungoni.

    ReplyDelete
  2. Duh! Michuzi huyu jamaa bwana nami natafuta sana habari zake sijui yuko wapi.Lakini si alikakatwwa na akina Joji Kichaka? wamempeleka wapi??

    ReplyDelete
  3. This is Mohammed Saeed al-Sahaf a.k.a "Comical Ali". (Arabic محمد سعيد الصحاف also Mohammed Said al-Sahhaf) (born 1940) is a former Iraqi diplomat and politician.He was information minister during iraq invasion (2003)and known for his daily briefing during that time,was held by american for sometimes and released he is now living in UAE,
    for more about him please visit this site
    http://www.welovetheiraqiinformationminister.com

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 14, 2006

    WAZUNGU WALIVYO-WAONGO,HAPA KWA HUYU BWANA WALIFUNGA BREAK!WALITUMIA GHARAMA ZA KUTOSHA HASAAAA!KUFIKA BAGDAD WANASHANGAASHANGAA,SAFI SANA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...