Home
Unlabelled
msondo ngoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Powa kabisa hapo. Walahi, kumbe Msondo bado wanatesa wajameni..
ReplyDeleteYaaaap yaaaap ! hili ndio bugidauni. Home sweet home. Aksante Michuzi
ReplyDeletenimefurahi sana na kufarijika kuona msondo ngoma bado ina wapenzi watz tuendelee kuipa support ya nguvu jamani
ReplyDeleteMichuzi,hii picha ni kabla au baada ya kifo cha TX mosh wiliam????
ReplyDeletefikrathabiti; ni miezi michache kabla tx hajatutoka, na hapo ni daimondi, ilikuwa uzinduzi wa nembo mpya ya bia safari.
ReplyDeletekwa taarifa yako, msondo imepata kifaa kingine kiitwacho shukuru majaliwa a.k.a tx majaliwa, ambacho kina sauti kama tx moshi.
aidha, kabla ya kuaga dunia, tx moshi (marhum) aliweka bayana kwamba mrithi wake ni majaliwa. tumemshuhudia jumapili iliyopita, watu walishindwa kucheza msondo, kumsikiliza tx majaliwa, ambaye ni mwanamuziki wa mwenge jazz, paselepa, ya jwtz. juhudi zinafanywa namna ya kumpata sawia.
hakika ungekuweko ukumbi wa amana ilala hiyo jumapili usingeamini kuwa tx moshi william hayuko nasi.
nitaendelea kuwapasha nini kinaendelea kila likitokea. stei tyunnd
MSONDO EEE MSONDO AAA AAAFYAAA!!
ReplyDeleteDah... mkuu michuzi huyu dada maana yake ndo nini hivi.... Kuselebuka au??
ReplyDeleteaisee michuzi kama kuna kitu unanifurahisha ni kutupa raha watz,yaani niko mbali, msondo ndio bendi yangu nayoipenda tz alipokufa mbwembwe niliumia sana niliposikia tx amepata ajali nikasikitika sana na kuona sasa msondo inaenda wapi alipofariki siwezi kueleza ni uchungu kiasi gani nilioupata
ReplyDeletesasa kusikia kwamba kuna mtu anaweza kumportray tx nimefarijika sana na pia kusikia kwamba utatupa taarifa zaidi kuhusu huyo majaliwa ikiwezekana na picha basi,najua pengo waliloacha marehemu wote halitazibika lakini nafarijika kuona msondo utaendelea.
binti anafurahia kushikwa shikwa, mpumbavu kabisa.
ReplyDelete