wapenzi wa msondo ngoma wakiselebuka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Powa kabisa hapo. Walahi, kumbe Msondo bado wanatesa wajameni..

    ReplyDelete
  2. Yaaaap yaaaap ! hili ndio bugidauni. Home sweet home. Aksante Michuzi

    ReplyDelete
  3. nimefurahi sana na kufarijika kuona msondo ngoma bado ina wapenzi watz tuendelee kuipa support ya nguvu jamani

    ReplyDelete
  4. Michuzi,hii picha ni kabla au baada ya kifo cha TX mosh wiliam????

    ReplyDelete
  5. fikrathabiti; ni miezi michache kabla tx hajatutoka, na hapo ni daimondi, ilikuwa uzinduzi wa nembo mpya ya bia safari.

    kwa taarifa yako, msondo imepata kifaa kingine kiitwacho shukuru majaliwa a.k.a tx majaliwa, ambacho kina sauti kama tx moshi.

    aidha, kabla ya kuaga dunia, tx moshi (marhum) aliweka bayana kwamba mrithi wake ni majaliwa. tumemshuhudia jumapili iliyopita, watu walishindwa kucheza msondo, kumsikiliza tx majaliwa, ambaye ni mwanamuziki wa mwenge jazz, paselepa, ya jwtz. juhudi zinafanywa namna ya kumpata sawia.

    hakika ungekuweko ukumbi wa amana ilala hiyo jumapili usingeamini kuwa tx moshi william hayuko nasi.

    nitaendelea kuwapasha nini kinaendelea kila likitokea. stei tyunnd

    ReplyDelete
  6. MSONDO EEE MSONDO AAA AAAFYAAA!!

    ReplyDelete
  7. Dah... mkuu michuzi huyu dada maana yake ndo nini hivi.... Kuselebuka au??

    ReplyDelete
  8. aisee michuzi kama kuna kitu unanifurahisha ni kutupa raha watz,yaani niko mbali, msondo ndio bendi yangu nayoipenda tz alipokufa mbwembwe niliumia sana niliposikia tx amepata ajali nikasikitika sana na kuona sasa msondo inaenda wapi alipofariki siwezi kueleza ni uchungu kiasi gani nilioupata
    sasa kusikia kwamba kuna mtu anaweza kumportray tx nimefarijika sana na pia kusikia kwamba utatupa taarifa zaidi kuhusu huyo majaliwa ikiwezekana na picha basi,najua pengo waliloacha marehemu wote halitazibika lakini nafarijika kuona msondo utaendelea.

    ReplyDelete
  9. binti anafurahia kushikwa shikwa, mpumbavu kabisa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...