najichana na madaraka na anna kwa mwalimu butiama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. ona walivyochoka jamani maskini nchi yetu hii kweli haina nidhamu,lakini nasikitika kusema hayati alijitoa kwa nchi zaidi ya watoto wake nampongeza kwa hilo maana hata maandiko yanasema toa ulicho nacho chote EE MUNGU MBARIKI BABA WA TAIFA.

    ReplyDelete
  2. jamani mungu awape afya mbona wamechoka hivyo.

    ReplyDelete
  3. ndio maana wakatoliki tunaamini alikuwa kiishi kama mtakatifu.
    viongozi wetu wa sasa wamejawa na umobutu mobutu useseseko akilini mwao. Mungu atawalaani waoze korodani zote mbili ghafla.

    ReplyDelete
  4. heee wenzenu wanafyonza kuku kwa mrija,, haaaa wema umelizidi.ohh msosi kwa spuryte.

    ReplyDelete
  5. Msiwadharau na kuwaona wamezubaa. hiyo ni geresha tu. Hapo walipo wana bilioni kwenye Swiss Bank...

    ReplyDelete
  6. Dah! Hivi Anna Mgonjwa nini? Halafu Madaraka siku hzi tumwite Mzee Madaraka!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 13, 2006

    WEWE ANONYM HAPO JUU,KWENU HAKUNA WAKUBWA?MAMA/BABA YAKO HAWAUMWI?SASA CHA AJABU?NYERERE HAKUWALEA KAMA UNAVYOFIKIRI WEWE NA NDIO MAANA WANAISHI KAMA BINADAMU YEYOTE!KWA MWENYE BUSARA,"DUNIA TUNAPITA,KILA KITU KITABAKIA,BINADAMU NI MCHANGA!"
    DUNIA ISIKUKOSESHE UTU!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...