Home
Unlabelled
mtoto wa migomigo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hoya Miraji safi sana maana sikuipata hii, niliishia kula wali wa send off, ulikuwa bomba lakini mzee. Safi sana michuzi kutupa matukio haya
ReplyDeleteNatumaini hii blogu haitageuka kuwa ya maharusi na kumbukumbu!
ReplyDeleteMichuzi, heshima zako mzee, nilikuwa na idea ya kufanya kitu kama hiki kwa kama miaka miwili hivi, nilipoona blogu yako nikajua sina nafasi tena (labda tuunganishe nguvu), lakini naona unaanza kupoteza focus kidogo.
Kwa 'legend' kama wewe, wengi tuna mategemeo makubwa kila tukifungua blogu yako. Naomba usituangushe.
mtoto amekaa kimazoezi haswaa safi mtoto wa migomigo umepata chombo hakikisha unakitunza mzee.
ReplyDeleteHongera Miraji.
ReplyDeleteMichuzi nafikiri na kuamini kuwa unajua unachofanya,endelea tupe habari mchanganyiko arusi ,siasa,utamaduni n.k.hiyo ndo itafanya blog yakoiwe moto kila mtu apate hitaji lake.
ReplyDeleteKazi hii ni nzuri michuzi endelea.
kukujibu anony ulie juu ya joni mwaipopo ni kwamba kizuri kwa bata mzinga, kibaya kwa kuku. kuhusu kuunganisha nguvu, naogopa. mi mnyonge, utaniumiza...kama ulivyoniumiza ulioposema nimepoteza 'focus' maana lugha (na uhalisia wa neno) hio mwenzio izi noti richebo...labda ucheki nami kupitia issamichuzi@gmail.com
ReplyDeletemichuzi hapo hapo houston kwenye mtoto wa migomigo umetokea msiba mkubwa sana ndugu 2 wa familias moja wamekufa ktk mazingira mabaya sana na yanayotia uchungu hata kuelezea nadhani umezipata hizi news kama bado basi ndio hivyo brooo.
ReplyDelete