mmoja wa mikutano ya wanafunzi mlimani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. "solidarity forever....and DARUSO makes us strong"

    ReplyDelete
  2. kwa mvao huu hii ngwinii!!!

    ReplyDelete
  3. nyie watoto nendeni darasani.haya mambo ya solidarity forever yawe na busara ndani yake kwa sababu kwa kusimama na kusema solidarity forever wakati semester inaendelea mbele sio solidarity forever.wewe ndugu uliyesimama jukwaani wawakilishe wenzako kwenda kudai hayo mahitaji yenu halafu wenzako watakufundisha kile walichofundishwa darasani.hiyo ndio solidarity forever.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...