panya siku hizi bongo ni mali. hasa wale wanaofugwa mahususi kunusa mabomu ya ardhini. mambo ya chuo kikuu cha kilimo sokoine a.k.a sua

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mambo ya prof.Kilonzo hapo umwelezi kitu.

    ReplyDelete
  2. Kwa wengine hizo panya ni chakula!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2006

    AISEE MNGEWAFUGA KWA WINGI,WANA AFYA!DUUU!HAPO USAWA WA MKIA UNACHOMEKA KIJITI,UNAMBANIKA POLEPOLE;INAKUWA BOMBA ZAIDI UKIWA NA MKAA(INGAWA NI UHARIBIFU WA MAZINGIRA)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...